1.1 DESCRIPTION OF THE ASSOCIATION
TUNI KAGERA AWARDS TEAM
1.ENG MICHAEL YONGO -EXECUTIVE DIRECTOR
2.MC PAUL KONYA -DIRECTOR
Kwa mara nyingine tena, clickhuduma inakuletea Kagera Tuni awards! Ni tuzo za heshima kwa vipaji vya kipekee katika mkoa wa Kagera. Katika nyanja ya burudani, ni wakati wa kipekee wa kusherehekea talanta zetu. Ewe mwananchi, huu ndio wakati wako wa kuamua! Piga kura kwa mshiriki unayempenda ili ashinde tuzo hizi muhimu. Vipengele vinavyoshindaniwa ni Best actor/actress, best video director, best Mc, best Dj, best sportman/lady, Best song, Best Presenter, best artist, na best traditional artist. Kagera Tuni awards, tunajivunia vipaji vyetu! Kumpigia kura mshiriki unaempenda ingia www.tuniawards.com, tuzo zitatolewa tarh 03 mwezi wa pili katika mji wa Bukoba, usipange kukosa kushuhudia tukio hili kubwa na la kihistoria. Kwa kudhamini au maelezo zaidi piga simu namba 0629863087 / 0714554390. Kipaji ni Ajira kazi iendelee